CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 39
Chagua ukanusho wa sentensi hii. Juma angesoma kwa bidii angepita mtihani.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Chagua ukanusho wa sentensi hii.
Juma angesoma kwa bidii angepita mtihani.
- AJuma asiposoma kva bidii hatapita mtihani
- BJuma hajasoma kwa hivyo hatapita
- CJuma asmgesoma kwa bidii asingepita mtihani
- DJuma asingalisoma kwa bidii asingalipita mtihani
Answer
C. Juma asmgesoma kwa bidii asingepita mtihani
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambuanomino ya dhahania kati ya hizi.Question 40
- Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?Question 41
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 42
- Chagua wingi wa sentensi hii. Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.Question 43
- Chagua ukubwa wa sentensi hii. Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.Question 44
- Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.Question 45