CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 45
Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Geuza sentensi katika kauli ya kutendana.
Watoto walijifunza wao wenyewe.
- AMtoto alifunzwa naye akafunza wengine
- BWatoto walifunzana wao wenyewe
- CWatoto walifunzwa na wengine
- DWatoto walifunzwa wenyewe
Answer
B. Watoto walifunzana wao wenyewe
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua aina za maneno yaliyopigiwa mstari. Wangn walipostaafu walihamia Ej.ijiniQuestion 46
- Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?Question 47
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.Question 48
- Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Question 49
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Question 50
- Kila sikuya Dominika Jamila alifanyanini?Question 1