CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 44
Chagua ukubwa wa sentensi hii. Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino
Chagua ukubwa wa sentensi hii.
Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.
- AKidovu hicho kina kikonga kirefu
- BDovu hilo lina konga refu
- CJidovu huyo ana jikonga refu
- DJidovu hilo lina mkonga mrefu
Answer
B. Dovu hilo lina konga refu
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.Question 45
- Tambua aina za maneno yaliyopigiwa mstari. Wangn walipostaafu walihamia Ej.ijiniQuestion 46
- Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?Question 47
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.Question 48
- Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Question 49
- Geuza sentensi ifuatayo iwe katika usemi Wa taarifa. "Mkiwaona wanyamapori msiwaue," afisa alisema.Question 50