CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 43
Chagua wingi wa sentensi hii. Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Chagua wingi wa sentensi hii.
Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.
- AMajumba yao yamezingirwa na maua marefu
- BNyumba zao zimezingirwa na nyua ndefu
- CNyumba zenu zimezingirwa na nyua ndefu
- DNyumba zao zimezingirwa na maua marefu
Answer
B. Nyumba zao zimezingirwa na nyua ndefu
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua ukubwa wa sentensi hii. Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.Question 44
- Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.Question 45
- Tambua aina za maneno yaliyopigiwa mstari. Wangn walipostaafu walihamia Ej.ijiniQuestion 46
- Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?Question 47
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashihisi.Question 48
- Nomino mbeleko ipo katika ngeli gani?Question 49