CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 41
Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?
- AKitoto kimezaliwa
- BKiatu kimepotea
- CUkijitahidi utafaulu
- DAlitembea kijeshi
Answer
C. Ukijitahidi utafaulu
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 42
- Chagua wingi wa sentensi hii. Nyumba yake imezingirwa na ua mrefu.Question 43
- Chagua ukubwa wa sentensi hii. Ndovu hpyo ana mkonga mrefu.Question 44
- Geuza sentensi katika kauli ya kutendana. Watoto walijifunza wao wenyewe.Question 45
- Tambua aina za maneno yaliyopigiwa mstari. Wangn walipostaafu walihamia Ej.ijiniQuestion 46
- Sentensi, 'Wewe ni msomi ilhali mimi ni mkulima.' Sentensi hii ni ya aina gani?Question 47