naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 36

Maneno thamani na dhamani yana sauti zinazokaribiana. Je, ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno samani? •

From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Matamshi na Kusikiliza kwa Kina

Maneno thamani na dhamani yana sauti
zinazokaribiana. Je, ni neno lipi lenye sauti
zinazokaribiana kimatamshi na neno samani?
•

  1. AJamani
  2. BZamani
  3. CThamini
  4. DRamani

Answer

B. Zamani

The correct option is B.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test