CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 35
Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu chenye nafasi za Maswali 26–35
Ulikuwa usiku wa manane niliposikia sauti za ___26___ ya watu ___27___ kule nje. ___28___ cha kaniki kilikuwa ___29___ kila mahali. Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja. ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___. Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu. Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
Ulikuwa usiku wa manane niliposikia sauti za ___26___ ya watu ___27___ kule nje. ___28___ cha kaniki kilikuwa ___29___ kila mahali. Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja. ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___. Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu. Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
- Andiye
- Bndilo
- Cndicho
- Dndio
Answer
B. ndilo
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Maneno thamani na dhamani yana sauti zinazokaribiana. Je, ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno…Question 36
- Chaguajibu lenye maana kuwa "Juma alijenga nyumba kwa niaba ya Neema."Question 37
- Dawati hili ___ litumiwa na wanafunzi.Question 38
- Chagua ukanusho wa sentensi hii. Juma angesoma kwa bidii angepita mtihani.Question 39
- Tambuanomino ya dhahania kati ya hizi.Question 40
- Ni sentensi gani imetumia ki ya masharti?Question 41