naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 22

Kareti anaposema ‘Oh!’ anadhihirisha kuwa

From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji

Mazungumzo ya Maswali 21–25
Zawadi:
Mpi Kareti? (Akimnyoshea mkono)
Kareti:
Sijambo sana kaka yangu, habari za muda mrefu? Ni siku nyingi sana hatujaonana.
Zawadi:
Ni kweli, nimebanwa sana na shughuli za shuleni. Wiki hii nzima nimekuwa maktabani
nikifanya utafiti kuhusu uwasilishaji ambao nitakuwa nashiriki na kuiwakilisha Shule yetu.
Kareti:
Oh! Nakumbuka. Karibu nisahau. Kuna mashindano ya mijadala. Najua utafanya vyema.
Nikumbushe mada uliyopewa tafadhali?
Zawadi:
Huku akicheka. Usiwe kama ngiri. Mada yangu inahusu njia za kukabiliana na matatizo ya
matumizi ya vifaa vya kidijitali. Ni mada nzuri mno. Ila nimejipanga vya kutosha.
Kareti:
Nakutakia kila la heri. Najua utashinda kwani wewe ni mtujasiri na mkwasi wa lugha. Isitoshe,
una sifa za kupigiwa mfano katika ulumbi.
Zawadi:
Mungu atatusaidia kaka. Nimeshukuru kwa kunitia moyo.
(Wanaagana kwa mikono na kuondoka.)

Kareti anaposema ‘Oh!’ anadhihirisha kuwa

  1. Aanakubaliana na mwenzake
  2. Banaapa kuwa atajikaza
  3. Canakumbuka jambo
  4. Danashtuka sana

Answer

A. anakubaliana na mwenzake

The correct option is A.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test