CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 21
Badala ya salamu ambazo Zawadi alizitumia, angemsalimia mwenzake kwa kusema
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 21–25
Zawadi:
Mpi Kareti? (Akimnyoshea mkono)
Kareti:
Sijambo sana kaka yangu, habari za muda mrefu? Ni siku nyingi sana hatujaonana.
Zawadi:
Ni kweli, nimebanwa sana na shughuli za shuleni. Wiki hii nzima nimekuwa maktabani
nikifanya utafiti kuhusu uwasilishaji ambao nitakuwa nashiriki na kuiwakilisha Shule yetu.
Kareti:
Oh! Nakumbuka. Karibu nisahau. Kuna mashindano ya mijadala. Najua utafanya vyema.
Nikumbushe mada uliyopewa tafadhali?
Zawadi:
Huku akicheka. Usiwe kama ngiri. Mada yangu inahusu njia za kukabiliana na matatizo ya
matumizi ya vifaa vya kidijitali. Ni mada nzuri mno. Ila nimejipanga vya kutosha.
Kareti:
Nakutakia kila la heri. Najua utashinda kwani wewe ni mtujasiri na mkwasi wa lugha. Isitoshe,
una sifa za kupigiwa mfano katika ulumbi.
Zawadi:
Mungu atatusaidia kaka. Nimeshukuru kwa kunitia moyo.
(Wanaagana kwa mikono na kuondoka.)

Badala ya salamu ambazo Zawadi alizitumia,
angemsalimia mwenzake kwa kusema
- Amasalheri
- Bshikamoo
- Clala unono
- Dhujambo
Answer
D. hujambo
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kareti anaposema ‘Oh!’ anadhihirisha kuwaQuestion 22
- Kauli, usiwe kama ngiri imetumia tamathali gani ya lugha?Question 23
- Ni ipi si miongoni mwa sifa za Zawadi ambazo zinaweza kufanya ashinde?Question 24
- Mada aliyokuwa akipanga kuijadili ZawadiQuestion 25
- Nilisikia sauti za ___26___ ya watu waliokuwa kule nje.Question 26
- Nilisikia sauti za umati wa watu ___27___ kule nje.Question 27