CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 12
A Jambo zuri kutendeka.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 7–12
Hapo zamani za mababu zetu, Paka na Panya waliishi pamoja kama marafiki wa chanda na pete. Waliishi
katika shamba moja ambalo Paka alirithishwa na baba yake kabla ya kuaga dunia. Walifaana katika kilimo
kila msimu. Walipanda mimea kama vile maÄ1indi, maharagwe, viazi vitamu, mihogo na mboga. Kila kazi
ya shambani ilifanywa kwa pamoja wakijua kuwa kidole kimoja hakivunji chawa. Wote wakichukua jukumu
Ia kulinda mimea yao na kuhifadhi mazao waliyopata.
Kila ilipokaribia msimu wa kuvuna, waliandaa zamu ya ulinzi wa usiku. Kila mmoja akiwa na Wiki
yake ya kukaa macho wazi usiku kulinda mimea isivamiwe na wanyama wengine. Walifanya hivi kwa muda
wa wiki mbili vizuri. Wiki ya tatu ilikuwa zamu ya Panya. Alipoondoka nyumbani alihisi kazi ile haikufaa
tena. "Mbona tusivune tu badala ya kukesha hapa usiku kucha kwenye baridi shadidi?" Alijiwazia. Nitalala
kidogo kisha niendelee na ulinzi.
Panya alipowasili shambani, alienda hadi eneo la kati lililokuwa na mihogo na kujilaza hapo.
Alipogutuka tayari kulikuwa kumekucha. Alianza kuondoka huku akiyatalii macho yake ili kuhakikisha
kuwa kila kitu ki shwari. Mara alipofika shamba la mahindi, alipigwa na butwaa kuona yalivyovamiwa
usiku huo. Aliwaza na kuwazua kile ambacho angemwambia Paka iwapo wanggzuru shamba siku hiyo.
Mchana huo walipokuwa wakikagua mazao yao, Paka alimsaili Panya kilichoendelea usiku ila Panya
tayari alikuwa na jibu. Paka alimsuta kwa kufanya tendo kama hilo. Siku ya pili jambo hilo lilitokea tena.
Paka alihisi kwamba kuna jambo linuen,d.a....mrama. Jimi ya tatu alimfuata Panya nyumanyuma kuona
alivyolala fofofo badala ya kulinda shamba Iao. Mara alisikia mahindi yakivamiwa. Alitöka shoti kueleka
palipo na mahindi. Panya aliiogundua kuwa alikuwa amenaswa alitokomea mbali na urafiki wao ukafikia
kikomo.

- AZaraa
- BJambo baya kutendeka
- CKiambaza
- DKutembea polepole zaidi
Answer
A. Zaraa
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kwamujibuwaayayakwanza, Metinaalipenda nini?Question 13
- Siku moja Metina aligundua nini?Question 14
- Unadhani ni nini kingetokea iwapo watu wangeendelea kukata miti na kutupa taka ovyo?Question 15
- Ni kauli gani inaonyesha kuwa Metina ni msichana mwenye hekima na busara?Question 16
- Chagua orodha iliyo na maliasili pekee.Question 17
- Musa alimwitaje mtoto wa kaka yake aliyekuwa amemtembelea?Question 18