CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 17
Chagua orodha iliyo na maliasili pekee.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 13–17
Kijiji cha Mpeketoni kilikuwa kidogo Iakini chenye miti iliyovutia hewa safi, kivuli na mvua. Kilikuwa
na mto uliotiririka maji safi. Udongo ulikuwa na rutuba hivi kwamba wanakijiji walinufaika sana kutokana
na zaraa. Kati ya wanakijiji, paliishi binti mmoja kwa jina Metina. Metina alikuwa msichana aliyependa
kusikiliza hadithi za babu yake zilizohusujinsi ya kutunza mazingira na maliasili.
Siku moja Metina aligundua kuwa wanakijiji walikuwa wakikata miti kiholela na mabiwi ya taka
yalitupwa popote. Udongo ulianza kukosa rutuba na mazao yakawa yanapungua siku baada ya siku.'Metina
alimuuliza babu yake, "mbona watu hawatunzi maliasili yetu tena?" "Watu hawajali tena mwanangu.
Wamesahau maliasili hutupa faida kadri tunavyoyatunza na kuyahifadhi" Baba alimjibu kwa sauti hafifu.
Metina alitamani sana kuleta mabadiliko. Aliwakusanya marafiki wake na majirani. Aliwashawishi
wapande miti kila sehemu iliyokuwa imekatwa miti kisha wanyunylzie maji na mbolea kwenye udongo ili
kurejesha rutuba.
Baada ya muda, kijiji cha Mpeketoni kilianza kubadilika na misitu ikamea tena. Mashamba yalipata
mazao tena na mto kuendelea kutiririka maji safi. Wanakijiji wote waligundua umuhimu wa kutunza maliasili.

- AViumbe, maji, magari, hewa
- BMaji, milima, mito na magari
- CMaji, misitu, madini, hewa
- DUdongo, barabara, hewa, maji. Somq kifungu kifuatacho kisha uiibu swali la 18 Leo Musa ameenda kumsalimia mtoto wa kaka yake. Alisikia kuwa mtoto huyo alikuwa amehusika kwenye ajali akitoka shuleni. Huko alikutana na kaka yake ambaye anaitwa Chapakazi. Waliamkiana asubuhi hiyo kisha wakakaa kwenye kivuli huku Musa akitathmini hali ya kijana huyo. Alikuwa ameanza kupata shufaa. Baadaye jioni aliagana na Pendo ambaye ni mke wa kaka yake na kumtakia mtoto wao afueni ya mapema. Sama-Æ.fungu-kisha.-u.ii.h.u-suali..la.2LhadLla- Zawadi: Mpi Kareti? (Akimnyoshea mkono) Kareti: Sijambo sana kaka yangu, habari za Zawadi: Ni kweli, nimebanwa sana na shughuli nikifanya utafiti kuhusu uwasilishaji Kareti: Oh! Nakumbuka. Karibu nisahau. Kuna Nikumbushe mada uliyopewa tafadhali? Zawadi: Huku akicheka. Usiwe kama ngiri. Mada matumizi ya vifaa vya kidijitali. Ni mada Kareti: Nakutakia kila la heri. Najua utashinda una sifa za kupigiwa mfano katika ulumbi. Zawadi: Mungu atatusaidia kaka. Nimeshukuru (Wanaagana kwa mikono na kuondoka.)
Answer
C. Maji, misitu, madini, hewa
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Musa alimwitaje mtoto wa kaka yake aliyekuwa amemtembelea?Question 18
- Ikiwa walikutana asubuhi, yapi si maamkuzi ambayo wangetoleana? kakaQuestion 19
- Waliamkiana Musa atamwita Vipi mke wa mwenyeji wake Musa ambaye amemtembelea? ameanzaQuestion 20
- Badala ya salamu ambazo Zawadi alizitumia, angemsalimia mwenzake kwa kusemaQuestion 21
- Kareti anaposema ‘Oh!’ anadhihirisha kuwaQuestion 22
- Kauli, usiwe kama ngiri imetumia tamathali gani ya lugha?Question 23