naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 19

Ikiwa walikutana asubuhi, yapi si maamkuzi ambayo wangetoleana? kaka

From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji

Kifungu cha Maswali 18–20
Leo Musa ameenda kumsalimia mtoto wa kaka
A. Sabalheri
B.Chewa
yake. Alisikia kuwa mtoto huyo alikuwa amehusika
C. Umeamkaje?
kwenye ajali akitoka shuleni. Huko alikutana na kaka
D.Masalheri
yake ambaye anaitwa Chapakazi. Waliamkiana
20.
Musa atamwita Vipi mke wa mwenyeji wake
asubuhi hiyo kisha wakakaa kwenye kivuli huku Musa
ambaye amemtembelea?
akitathmini hali ya kijana huyo. Alikuwa ameanza
A.Wifi
kupata shufaa. Baadaye jioni aliagana na Pendo
B.Shemeji
ambaye ni mke wa kaka yake na kumtakia mtoto wao
C.Mlamwa
afueni ya mapema.
D.Mkazamjomba

Ikiwa walikutana asubuhi, yapi si maamkuzi
ambayo wangetoleana?
kaka

  1. ASabalheri
  2. BChewa
  3. CUmeamkaje?
  4. DMasalheri

Answer

D. Masalheri

The correct option is D.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test