CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 30
Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja.
From Test 95 — Revision 1 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu chenye nafasi za Maswali 26–35
Ulikuwa usiku wa manane niliposikia sauti za ___26___ ya watu ___27___ kule nje. ___28___ cha kaniki kilikuwa ___29___ kila mahali. Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja. ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___. Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu. Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
Ulikuwa usiku wa manane niliposikia sauti za ___26___ ya watu ___27___ kule nje. ___28___ cha kaniki kilikuwa ___29___ kila mahali. Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja. ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___. Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu. Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.
Kurunzi zilimulika ___30___ na kuelekea upande mmoja.
- Awee
- Bmwaa
- Cwaa
- Dmwee
Answer
B. mwaa
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- ___31___ kutoka nje nilipowaona wakipita langoni pangu.Question 31
- Nilikata shauri kutoka nje nilipowaona wakipita langoni ___32___.Question 32
- Watu wasiokuwa na chembe ___33___ huruma walilipiga zee.Question 33
- Walilipiga zee ___34___ nusura lipoteze fahamu.Question 34
- Kumbe ___35___ jizi lilikuwa likituhangaisha usiku na mchana.Question 35
- Maneno thamani na dhamani yana sauti zinazokaribiana. Je, ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno…Question 36