CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025: Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9)
Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 47 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 47 questions with answers
- Question 1: Ni nani aliyekuwa ameketi kando ya barabara? (Alama 1)Answer: Sali.
- Question 2: Kabla ya kukutana na mjomba wake, maisha ya Sali yalijaa nini? (Alama 1)Answer: Yalijaa mateso na upweke.
- Question 3: Mjomba alimpeleka Sali wapi? (Alama 1)Answer: Nyumbani kwake (kwa mjomba).
- Question 4: Ajali iliyompokonya Sali wazazi wake ilifanyika lini? (Alama 1)Answer: Alipokuwa mtoto mdogo.
- Question 5: Sali alipelekwa shule gani? (Alama 1)Answer: Shule ya Kanyamedha.
- Question 6: Waliodondokwa na machozi ya furaha na kukumbatiana walikuwa nani na nani? (Alama 2)Answer: Sali na mjomba wake.
- Question 7: Ipe ufahamu uliosoma kichwa mwafaka. (Alama 2)Answer: Safari ya Maisha ya Sali
- Question 8: B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40) 1. Taja alama ifuatayo na utaje matumizi yake. (alama 1) •Answer: Nukta (kitone): hutumika kumalizia sentensi.
- Question 9: Jabez aliulizwa maana ya nomino na baada ya kujibu wanafunzi wote walimpigia makofi. Je, alijibu nomino ni nini? (Alama 1)Answer: Nomino ni neno linalotaja jina la mtu, mnyama, kitu, mahali, hali au wazo.
- Question 10: Fafanua aina sita za nomino ulizofunzwa. (alama 3)Answer: Nomino za pekee (Amina, Nairobi); nomino za kawaida (kiti, meza); nomino za jamii (kundi, darasa); nomino za…
- Question 11: Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? i. Maina alijibidiisha kupiga pasi. (Alama 1)Answer: Wakati uliopita.
- Question 12: Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? ii. Simba anawinda porini. (Alama 1)Answer: Wakati uliopo.
- Question 13: Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? iii. Wanafunzi wa Kanyamedha watafuzu katika michezo. (Alama 1)Answer: Wakati ujao.
- Question 14: Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) i. Wanafunzi wangali wanajadiliana.Answer: wangali – kitenzi kisaidizi; wanajadiliana – kitenzi kikuu.
- Question 15: Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) ii. Mama anaweza kufika leo shuleni.Answer: anaweza – kitenzi kisaidizi; kufika – kitenzi kikuu.
- Question 16: Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) iii. Mjenzi yu darini.Answer: yu – kitenzi kishirikishi (kipungufu).
- Question 17: Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Choma (kutenda)Answer: chomea (kutendea), chomwa (kutendwa)
- Question 18: Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Chongea…Answer: chonga (kutenda), chongwa (kutendwa)
- Question 19: Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Futwa (kutendwa)Answer: futa (kutenda), futia (kutendea)
- Question 20: Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Eleza (kutenda)Answer: elezea (kutendea), elezwa (kutendwa)
- Question 21: Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Tamka (kutenda)Answer: tamkia (kutendea), tamkwa (kutendwa)
- Question 22: Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.Answer: Mimi
- Question 23: Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.Answer: Huyu
- Question 24: Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) iii. Watatu walituzwa na mwalimu.Answer: Watatu
- Question 25: Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) i. MzeeAnswer: Kijana
- Question 26: Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) ii. KikubwaAnswer: Kidogo
- Question 27: Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iii. MrefuAnswer: Mfupi
- Question 28: Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iv. FurahaAnswer: Huzuni
- Question 29: Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) v. JasiriAnswer: Mwoga
- Question 30: Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) i. UgonjwaAnswer: U-YA
- Question 31: Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) ii. WemaAnswer: U-U
- Question 32: Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) iii. KirobotoAnswer: KI-VI
- Question 33: Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) iv. GariAnswer: LI-YA
- Question 34: Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) v. UovuAnswer: U-U
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 10.Answer: B. walijitokeza
- Question 36: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 11.Answer: A. kupiga
- Question 37: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 12.Answer: D. wa
- Question 38: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.Answer: C. Katiba
- Question 39: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 14.Answer: B. kuwika
- Question 40: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.Answer: B. kufunguliwa
- Question 41: Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.Answer: D. Jamhuri
- Question 42: C. FASIHI (Alama 10) 1. Taja tanzu mbili kuu za fasihi. (Alama 2)Answer: Fasihi simulizi na fasihi andishi.
- Question 43: Taja aina nne za nyimbo. (Alama 4)Answer: Nyimbo za harusi, nyimbo za kazi, nyimbo za watoto (bembea) na nyimbo za mazishi (mbolezi).
- Question 44: Eleza maana ya: (Alama 4) i. MandhariAnswer: Mahali au mazingira ambapo hadithi hutokea.
- Question 45: Eleza maana ya: ii. WahusikaAnswer: Watu, wanyama au viumbe wengine wanaoshiriki katika hadithi.
- Question 46: Eleza maana ya: iii. MsimuliziAnswer: Mtu anayehadithia au kusimulia kisa.
- Question 47: Eleza maana ya: iv. DhamiraAnswer: Ujumbe mkuu au lengo ambalo msanii anataka kuwasilisha katika kazi ya fasihi.