CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 23
Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
7. Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1)
ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.
Answer
Huyu
"Huyu" ni kiwakilishi kionyeshi kinachosimama badala ya jina la mtu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) iii. Watatu walituzwa na mwalimu.Question 24
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) i. MzeeQuestion 25
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) ii. KikubwaQuestion 26
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iii. MrefuQuestion 27
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iv. FurahaQuestion 28
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) v. JasiriQuestion 29