CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 22
Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
7. Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1)
i. Mimi nitafagia darasa.
Answer
Mimi
"Mimi" ni kiwakilishi cha nafsi kinachosimama badala ya jina la mzungumzaji.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.Question 23
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) iii. Watatu walituzwa na mwalimu.Question 24
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) i. MzeeQuestion 25
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) ii. KikubwaQuestion 26
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iii. MrefuQuestion 27
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iv. FurahaQuestion 28