CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Tamka (kutenda)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
6. Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1)
Tamka (kutenda)
Answer
tamkia (kutendea), tamkwa (kutendwa)
Tamka → tamkia (kutendea) na tamkwa (kutendwa).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.Question 22
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.Question 23
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) iii. Watatu walituzwa na mwalimu.Question 24
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) i. MzeeQuestion 25
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) ii. KikubwaQuestion 26
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) iii. MrefuQuestion 27