CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 17
Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Choma (kutenda)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
6. Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1)
Choma (kutenda)
Answer
chomea (kutendea), chomwa (kutendwa)
Kauli ya kutendea huongeza -e-/-i- (chomea); kutendwa huongeza -w- (chomwa).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 18
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 19
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 20
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 21
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.Question 22
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.Question 23