naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 18

Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Chongea (kutendea)

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi

6. Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1)
Chongea (kutendea)

Answer

chonga (kutenda), chongwa (kutendwa)

Chongea ni kauli ya kutendea ya "chonga"; kutendwa ni "chongwa".

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test