CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1) Futwa (kutendwa)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
6. Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa. (alama 1)
Futwa (kutendwa)
Answer
futa (kutenda), futia (kutendea)
Futwa ni kauli ya kutendwa ya "futa"; kutendea ni "futia".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 20
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 21
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.Question 22
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) ii. Huyu huvaa glavu anaposafisha choo.Question 23
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) iii. Watatu walituzwa na mwalimu.Question 24
- Andika kinyume cha neno hili. (alama 1) i. MzeeQuestion 25