CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 16
Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) iii. Mjenzi yu darini.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
5. Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2)
iii. Mjenzi yu darini.
Answer
yu – kitenzi kishirikishi (kipungufu).
"Yu" huonyesha mahali alipo mjenzi; ni kitenzi kishirikishi kipungufu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 17
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 18
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 19
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 20
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 21
- Andika neno lililotumika badala ya nomino katika sentensi ifuatayo. (alama 1) i. Mimi nitafagia darasa.Question 22