CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 15
Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) ii. Mama anaweza kufika leo shuleni.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
5. Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2)
ii. Mama anaweza kufika leo shuleni.
Answer
anaweza – kitenzi kisaidizi; kufika – kitenzi kikuu.
"Anaweza" husaidia kitenzi kikuu "kufika".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) iii. Mjenzi yu darini.Question 16
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 17
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 18
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 19
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 20
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 21