naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 14

Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) i. Wanafunzi wangali wanajadiliana.

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

5. Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2)
i. Wanafunzi wangali wanajadiliana.

Answer

wangali – kitenzi kisaidizi; wanajadiliana – kitenzi kikuu.

Kitenzi kisaidizi husaidia kitenzi kikuu; kitenzi kikuu hubeba kitendo chenyewe.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test