naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9

Jabez aliulizwa maana ya nomino na baada ya kujibu wanafunzi wote walimpigia makofi. Je, alijibu nomino ni nini? (Alama 1)

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino

2. Jabez aliulizwa maana ya nomino na baada ya kujibu wanafunzi wote walimpigia makofi. Je, alijibu nomino ni nini? (Alama 1)

Answer

Nomino ni neno linalotaja jina la mtu, mnyama, kitu, mahali, hali au wazo.

Nomino hutaja majina, k.m. Amina, simba, kiti, Nairobi, upendo.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test