CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 10
Fafanua aina sita za nomino ulizofunzwa. (alama 3)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 3 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
3. Fafanua aina sita za nomino ulizofunzwa. (alama 3)
Answer
Nomino za pekee (Amina, Nairobi); nomino za kawaida (kiti, meza); nomino za jamii (kundi, darasa); nomino za dhahania (upendo, uaminifu); nomino za wingi (maji, mafuta); nomino za vitenzi-jina (kuimba, kusoma).
Kila aina ya nomino hutambuliwa kwa mifano yake.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? i. Maina alijibidiisha kupiga pasi. (Alama 1)Question 11
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? ii. Simba anawinda porini. (Alama 1)Question 12
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? iii. Wanafunzi wa Kanyamedha watafuzu katika michezo. (Alama 1)Question 13
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) i. Wanafunzi wangali…Question 14
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) ii. Mama anaweza kufika leo…Question 15
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) iii. Mjenzi yu darini.Question 16