CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 12
Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? ii. Simba anawinda porini. (Alama 1)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
4. Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani?
ii. Simba anawinda porini. (Alama 1)
Answer
Wakati uliopo.
Kiambishi -na- katika "anawinda" huonyesha wakati uliopo (wa sasa).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? iii. Wanafunzi wa Kanyamedha watafuzu katika michezo. (Alama 1)Question 13
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) i. Wanafunzi wangali…Question 14
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) ii. Mama anaweza kufika leo…Question 15
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) iii. Mjenzi yu darini.Question 16
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 17
- Jaza pengo kwa kutumia kauli ifaayo. Andika kauli mbili zilizobaki za kitenzi hiki: kutenda, kutendea, kutendwa.…Question 18