CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 8
B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40) 1. Taja alama ifuatayo na utaje matumizi yake. (alama 1) •
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
B. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (Alama 40)
1. Taja alama ifuatayo na utaje matumizi yake. (alama 1)
•
Answer
Nukta (kitone): hutumika kumalizia sentensi.
Alama hii ni nukta; huwekwa mwishoni mwa sentensi ya taarifa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Jabez aliulizwa maana ya nomino na baada ya kujibu wanafunzi wote walimpigia makofi. Je, alijibu nomino ni nini?…Question 9
- Fafanua aina sita za nomino ulizofunzwa. (alama 3)Question 10
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? i. Maina alijibidiisha kupiga pasi. (Alama 1)Question 11
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? ii. Simba anawinda porini. (Alama 1)Question 12
- Sentensi zifuatazo ziko katika nyakati gani? iii. Wanafunzi wa Kanyamedha watafuzu katika michezo. (Alama 1)Question 13
- Andika vitenzi vilivyo katika sentensi ifuatayo kisha utambue ni vya aina gani. (alama 2) i. Wanafunzi wangali…Question 14