CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 41
Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Soma na ujaze kifungu kifuatacho. Jaza kwa kuchagua jibu sahihi kati ya yale uliyopewa.
Wakenya __10__ kwa wingi siku ya __11__ kura. Uchaguzi huu ulikuwa __12__ kihistoria tangu kupitishwa kwa __13__ mpya. Baadhi ya vituo vya kupigia kura vilianza kupata wateja asubuhi na mapema kabla ya jogoo __14__. Hata hivyo, vituo hivyo vilistahili __15__ kuanzia mwendo wa saa kumi na mbili asubuhi. Wananchi wa __16__ ya Kenya walipiga foleni ndefu mchana kutwa ili kuchagua viongozi wapendao.
16. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.
- ATaifa
- BSeneti
- CKaunti
- DJamhuri
Answer
D. Jamhuri
Jina rasmi la nchi ni Jamhuri ya Kenya.