CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 47
Eleza maana ya: iv. Dhamira
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
3. Eleza maana ya:
iv. Dhamira
Answer
Ujumbe mkuu au lengo ambalo msanii anataka kuwasilisha katika kazi ya fasihi.
Dhamira ni kile msanii analenga kufunza au kuwasilisha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni nani aliyekuwa ameketi kando ya barabara? (Alama 1)Question 1
- Kabla ya kukutana na mjomba wake, maisha ya Sali yalijaa nini? (Alama 1)Question 2
- Mjomba alimpeleka Sali wapi? (Alama 1)Question 3
- Ajali iliyompokonya Sali wazazi wake ilifanyika lini? (Alama 1)Question 4
- Sali alipelekwa shule gani? (Alama 1)Question 5
- Waliodondokwa na machozi ya furaha na kukumbatiana walikuwa nani na nani? (Alama 2)Question 6