CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 40
Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Soma na ujaze kifungu kifuatacho. Jaza kwa kuchagua jibu sahihi kati ya yale uliyopewa.
Wakenya __10__ kwa wingi siku ya __11__ kura. Uchaguzi huu ulikuwa __12__ kihistoria tangu kupitishwa kwa __13__ mpya. Baadhi ya vituo vya kupigia kura vilianza kupata wateja asubuhi na mapema kabla ya jogoo __14__. Hata hivyo, vituo hivyo vilistahili __15__ kuanzia mwendo wa saa kumi na mbili asubuhi. Wananchi wa __16__ ya Kenya walipiga foleni ndefu mchana kutwa ili kuchagua viongozi wapendao.
15. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.
- Akufunguka
- Bkufunguliwa
- Ckufungwa
- Dkufungulia
Answer
B. kufunguliwa
Vituo hufunguliwa na maafisa, kwa hivyo kauli ya kutendwa: kufunguliwa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.Question 41
- C. FASIHI (Alama 10) 1. Taja tanzu mbili kuu za fasihi. (Alama 2)Question 42
- Taja aina nne za nyimbo. (Alama 4)Question 43
- Eleza maana ya: (Alama 4) i. MandhariQuestion 44
- Eleza maana ya: ii. WahusikaQuestion 45
- Eleza maana ya: iii. MsimuliziQuestion 46