CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 42
C. FASIHI (Alama 10) 1. Taja tanzu mbili kuu za fasihi. (Alama 2)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 2 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
C. FASIHI (Alama 10)
1. Taja tanzu mbili kuu za fasihi. (Alama 2)
Answer
Fasihi simulizi na fasihi andishi.
Fasihi hugawanywa kwa jinsi inavyowasilishwa: kwa mdomo (simulizi) au kwa maandishi (andishi).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.