CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 30
Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) i. Ugonjwa
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
9. Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1)
i. Ugonjwa
Answer
U-YA
Ugonjwa umeisha; magonjwa yameisha: umoja ni U, wingi ni YA.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) ii. WemaQuestion 31
- Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) iii. KirobotoQuestion 32
- Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) iv. GariQuestion 33
- Nomino ifuatayo inapatikana katika ngeli gani? (alama 1) v. UovuQuestion 34
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 10.Question 35
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 11.Question 36