CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 36
Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 11.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Soma na ujaze kifungu kifuatacho. Jaza kwa kuchagua jibu sahihi kati ya yale uliyopewa.
Wakenya __10__ kwa wingi siku ya __11__ kura. Uchaguzi huu ulikuwa __12__ kihistoria tangu kupitishwa kwa __13__ mpya. Baadhi ya vituo vya kupigia kura vilianza kupata wateja asubuhi na mapema kabla ya jogoo __14__. Hata hivyo, vituo hivyo vilistahili __15__ kuanzia mwendo wa saa kumi na mbili asubuhi. Wananchi wa __16__ ya Kenya walipiga foleni ndefu mchana kutwa ili kuchagua viongozi wapendao.
11. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 11.
- Akupiga
- Bkupigwa
- Ckupigiwa
- Dkupigia
Answer
A. kupiga
"Siku ya kupiga kura": wananchi hupiga kura wenyewe.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 12.Question 37
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.Question 38
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 14.Question 39
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.Question 40
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.Question 41
- C. FASIHI (Alama 10) 1. Taja tanzu mbili kuu za fasihi. (Alama 2)Question 42