CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 1)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · Revision 2026 (Booklet 1) · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na aya ya kwanzaAnswer: A. kuna wanyama wanene
- Question 2: Chagua neno lenye maana sawa na wanyama.Answer: B. Hayawani
- Question 3: Vipepeo wana manufaa gani?Answer: C. Uchavushaji wa mmea
- Question 4: Majangili ni hatari kwa kuwaAnswer: D. huwaua wanyama wa porini
- Question 5: Idadi ya wanyama hupungua kwa kuwaAnswer: A. wanyama huuawa
- Question 6: Ni jukumu la nani kuhifadhi mazingira?Answer: C. Kila mmoja
- Question 7: Mzee Kipara alikuwa maarufu kwa sababu gani?Answer: B. Ushauri wake
- Question 8: Ni kwa nini watoto walimtembelea Mzee Kipara?Answer: C. Kusikiliza hadithi
- Question 9: Ni nini maana ya nahau kukata tamaa?Answer: D. Kukosa matumaini
- Question 10: Ni jambo gani Mzee Kipara aliwashauri wanakijiji?Answer: C. Wafanye kazi pamoja
- Question 11: Ni kweli kusema kuwaAnswer: B. vijana hawakufurahia mawaidha
- Question 12: Kwa nini wanakijiji walifurahi?Answer: B. Visima kujaa maji
- Question 13: Ni kweli kusema kuwa teknolojiaAnswer: B. ina changamoto
- Question 14: Wanafunzi hunufaika vipi na teknolojia?Answer: D. Kupata masomo
- Question 15: Ni shida gani huletwa na teknolojia?Answer: C. Kuwa na wasiwasi
- Question 16: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. teknolojia huathiri ukuaji
- Question 17: Jamii ikielimishwaAnswer: D. huwa na mstakabali mwema
- Question 18: Ni bidhaa gani hununuliwa na Kari na Oloo?Answer: C. Unga
- Question 19: Ni bidhaa gani hainunuliwi na Kirwa?Answer: A. Unga
- Question 20: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. bidhaa zote hununuliwa
- Question 21: Chagua jibu mwafaka kukamilisha 21Answer: D. Hodi
- Question 22: Ni kwa nini Juma hakuhudhuria masomo yake?Answer: B. Alikuwa mgonjwa
- Question 23: Bi. Zawadi anasisitiza ni nini muhimu?Answer: A. Afya yetu
- Question 24: Ni nini maana ya nahau nitajifunga nira?Answer: D. Nitafanya bidii
- Question 25: Achanikaye kwenye mpini hafi njaa ni methali inayohimizaAnswer: C. bidii
- Question 26: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 26.Answer: B. nikipendacho
- Question 27: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 27.Answer: D. ambacho
- Question 28: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 28.Answer: C. mengi
- Question 29: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.Answer: C. Wanunuzi
- Question 30: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 30.Answer: A. maembe
- Question 31: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 31.Answer: A. Sima
- Question 32: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 32.Answer: C. Mlo
- Question 33: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 33.Answer: C. wetu
- Question 34: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 34.Answer: D. huvipa
- Question 35: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.Answer: B. kwenye
- Question 36: Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Je, mtu akikuaga buriani utajibu vipi?Answer: A. Buriani dawa
- Question 37: Chagua kitenzi katika majibu haya.Answer: D. Cheka
- Question 38: Chagua sentensi inayoonyesha wakati uliopitaAnswer: A. Nilikuwa nikicheza jioni
- Question 39: Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi Nilioga___maji baridi jana.Answer: C. kwa
- Question 40: Chagua kinyume cha neno tokaAnswer: D. Ingia
- Question 41: Chagua wingi wa sentensi hii. Dawati lake ni kubwa.Answer: C. Madawati yao ni makubwa
- Question 42: Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.Answer: A. Kikaango
- Question 43: Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?Answer: B. Mbogo
- Question 44: Chagua maelezo sahihi.Answer: A. Stuli hupatikana sebuleni
- Question 45: Juma ni sungura.Kauli hii inamaanisha kuwa Juma niAnswer: A. mjanja
- Question 46: Neno mto katika hali ya ukubwa niAnswer: A. jito
- Question 47: Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.Answer: D. Siendi uwanjani
- Question 48: Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?Answer: A. Ndege
- Question 49: Chagua nomino iliyo katika ngeli ya KI-VI.Answer: D. Kioo
- Question 50: Kamilisha methali: Asiyekujua___Answer: B. hakuthamini