CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Vyombo vya Usafiri
48. Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?
- ANdege
- BBasi
- CPikipiki
- DGari
Answer
A. Ndege
Ndege husafiri haraka kwenda nchi za mbali.