CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 4
Majangili ni hatari kwa kuwa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 1 hadi la 6.
Wanyama pori ni sehemu muhimu ya mfumo wa ikolojia na utalii. Baadhi yao ni wakubwa na wenye nguvu kama simba, chui na tembo. Wengine ni wadogo na wa haraka kama swala na sungura. Kila mnyama ana jukumu lake katika mazingira. Simba husaidia kudhibiti idadi ya wanyama wengine, na hivyo kuzuia mazingira kuharibika. Nyuki na vipepeo, ingawa ni wadogo, huchangia pakubwa katika uchavushaji wa mimea.
Wanyama hawa wanakabiliwa na changamoto nyingi. Ujangili, au uwindaji haramu, ni tishio kubwa. Wengine wanatafutwa kwa pembe zao au meno yao, na hivyo kupelekea idadi yao kupungua. Uharibifu wa misitu na makazi yao pia unawaathiri vibaya. Serikali na mashirika mbalimbali yameanzisha hifadhi za wanyama na mbuga za kitaifa ili kuwalinda. Elimu kuhusu umuhimu wa wanyama pori inahitajika ili kila mtu aelewe jukumu lake katika uhifadhi.
4. Majangili ni hatari kwa kuwa
- Awanapenda pembe za wanyama
- Bwanapenda kuwa wanyama
- Chawapunguzi idadi ya wanyama
- Dhuwaua wanyama wa porini
Answer
D. huwaua wanyama wa porini
Ujangili ni uwindaji haramu: majangili huua wanyama.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Idadi ya wanyama hupungua kwa kuwaQuestion 5
- Ni jukumu la nani kuhifadhi mazingira?Question 6
- Mzee Kipara alikuwa maarufu kwa sababu gani?Question 7
- Ni kwa nini watoto walimtembelea Mzee Kipara?Question 8
- Ni nini maana ya nahau kukata tamaa?Question 9
- Ni jambo gani Mzee Kipara aliwashauri wanakijiji?Question 10