CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 47
Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
47. Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.
- ASitaenda uwanjani
- BSikuenda uwanjani
- CSikwenda uwanjani
- DSiendi uwanjani
Answer
D. Siendi uwanjani
Wakati uliopo hukanushwa kwa si- na -i: siendi.