CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 33
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 33.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Chakula __26__ ni kile __27__ huwa na madini __28__ ambayo hutufanya tuwe na afya. __29__ wengi huenda sokoni na kununua matunda kama __30__ ambayo hutupa vitamini. __31__ nayo hutupa wanga ambao hutupa nguvu za kufanya kazi. __32__ ambao una mahitaji yote ya mwili __33__ humfanya mtu kuwa na afya na __34__ viungo vya mwili nguvu. Tusisahau pia tukiweka viungo __35__ chakula chetu huongeza ladha.
33. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 33.
- Azetu
- Byetu
- Cwetu
- Dletu
Answer
C. wetu
"Mwili wetu" — mwili ni wa ngeli ya U-I (M-MI).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 34.Question 34
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.Question 35
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Je, mtu akikuaga buriani utajibu vipi?Question 36
- Chagua kitenzi katika majibu haya.Question 37
- Chagua sentensi inayoonyesha wakati uliopitaQuestion 38
- Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi Nilioga___maji baridi jana.Question 39