CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Chagua sentensi inayoonyesha wakati uliopita
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
38. Chagua sentensi inayoonyesha wakati uliopita
- ANilikuwa nikicheza jioni
- BNitakuwa nikicheza jioni
- CNimekuwa nikicheza jioni
- DMimi hucheza mchezo wa soka
Answer
A. Nilikuwa nikicheza jioni
Kiambishi -li- kinaonyesha wakati uliopita.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi Nilioga___maji baridi jana.Question 39
- Chagua kinyume cha neno tokaQuestion 40
- Chagua wingi wa sentensi hii. Dawati lake ni kubwa.Question 41
- Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.Question 42
- Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?Question 43
- Chagua maelezo sahihi.Question 44