CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Wanyama
43. Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?
- ANgamia
- BMbogo
- CFarasi
- DKondoo
Answer
B. Mbogo
Mbogo (nyati) ni mnyama wa porini.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua maelezo sahihi.Question 44
- Juma ni sungura.Kauli hii inamaanisha kuwa Juma niQuestion 45
- Neno mto katika hali ya ukubwa niQuestion 46
- Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.Question 47
- Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?Question 48
- Chagua nomino iliyo katika ngeli ya KI-VI.Question 49