CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44
Chagua maelezo sahihi.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Mahali
44. Chagua maelezo sahihi.
- AStuli hupatikana sebuleni
- BRato hupatikana darasani
- CChaki hupatikana nyumbani
- DMaji hupatikana maweni
Answer
A. Stuli hupatikana sebuleni
Stuli ni kiti kinachopatikana sebuleni.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Juma ni sungura.Kauli hii inamaanisha kuwa Juma niQuestion 45
- Neno mto katika hali ya ukubwa niQuestion 46
- Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.Question 47
- Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?Question 48
- Chagua nomino iliyo katika ngeli ya KI-VI.Question 49
- Kamilisha methali: Asiyekujua___Question 50