CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 42
Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Vifaa
42. Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.
- AKikaango
- BUtepe
- CKochi
- DNgoma
Answer
A. Kikaango
Kikaango hutumika kukaangia jikoni.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?Question 43
- Chagua maelezo sahihi.Question 44
- Juma ni sungura.Kauli hii inamaanisha kuwa Juma niQuestion 45
- Neno mto katika hali ya ukubwa niQuestion 46
- Kanusha sentensi hii: Ninaenda uwanjani.Question 47
- Ukitaka kusafiri nchi za mbali utatumia chombo kipi?Question 48