naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 41

Chagua wingi wa sentensi hii. Dawati lake ni kubwa.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

41. Chagua wingi wa sentensi hii.
Dawati lake ni kubwa.

  1. AMadawati zake ni makubwa
  2. BMadawati yake ni makubwa
  3. CMadawati yao ni makubwa
  4. DMadawati zenu ni makubwa

Answer

C. Madawati yao ni makubwa

Katika wingi, lake huwa yao na kubwa huwa makubwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test