CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 40
Chagua kinyume cha neno toka
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Kinyume
40. Chagua kinyume cha neno toka
- AUsitokee
- BTokewa
- CTokea
- DIngia
Answer
D. Ingia
Kinyume cha toka ni ingia.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua wingi wa sentensi hii. Dawati lake ni kubwa.Question 41
- Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.Question 42
- Yupi si aina ya mnyama anayefugwa nyumbani?Question 43
- Chagua maelezo sahihi.Question 44
- Juma ni sungura.Kauli hii inamaanisha kuwa Juma niQuestion 45
- Neno mto katika hali ya ukubwa niQuestion 46