CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 39
Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi Nilioga___maji baridi jana.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Maneno
39. Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi
Nilioga_______maji baridi jana.
- Ana
- Bkuwa
- Ckwa
- Dwa
Answer
C. kwa
Tunaoga kwa maji: "kwa" huonyesha kifaa.