CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi. 36. Je, mtu akikuaga buriani utajibu vipi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Adabu
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi.
36. Je, mtu akikuaga buriani utajibu vipi?
- ABuriani dawa
- BPia nawe
- CBuriani
- DAsante
Answer
A. Buriani dawa
Buriani hujibiwa "Buriani dawa".
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua kitenzi katika majibu haya.Question 37
- Chagua sentensi inayoonyesha wakati uliopitaQuestion 38
- Chagua neno mwafaka kukamilisha sentensi Nilioga___maji baridi jana.Question 39
- Chagua kinyume cha neno tokaQuestion 40
- Chagua wingi wa sentensi hii. Dawati lake ni kubwa.Question 41
- Chagua kifaa ambacho hutumika jikoni.Question 42