naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18

Ni bidhaa gani hununuliwa na Kari na Oloo?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma Jedwali

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Bi. Wema anaendesha duka dogo la rejareja katika kijiji cha Imani. Yeye huuza bidhaa mbalimbali muhimu kwa wakazi wa kijiji hicho. Wateja wake wakuu ni Kari, Oloo na Kirwa. Kila mmoja wao hununua bidhaa tofauti kulingana na mahitaji yao. Jedwali lifuatalo linaonyesha orodha ya bidhaa anazouza kwa wateja wake:
Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali

BidhaaKariOlooKirwa
SukariHanunuiHununuaHununua
Mafuta ya kupikiaHununuaHanunuiHununua
UngaHununuaHununuaHanunui
ChumviHanunuiHununuaHununua
SabuniHununuaHanunuiHununua

18. Ni bidhaa gani hununuliwa na Kari na Oloo?

  1. ASabuni
  2. BChumvi
  3. CUnga
  4. DSukari

Answer

C. Unga

Unga ndiyo bidhaa pekee ambayo Kari na Oloo wote hununua.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test