naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20

Ni kweli kusema kuwa

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma Jedwali

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Bi. Wema anaendesha duka dogo la rejareja katika kijiji cha Imani. Yeye huuza bidhaa mbalimbali muhimu kwa wakazi wa kijiji hicho. Wateja wake wakuu ni Kari, Oloo na Kirwa. Kila mmoja wao hununua bidhaa tofauti kulingana na mahitaji yao. Jedwali lifuatalo linaonyesha orodha ya bidhaa anazouza kwa wateja wake:
Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali

BidhaaKariOlooKirwa
SukariHanunuiHununuaHununua
Mafuta ya kupikiaHununuaHanunuiHununua
UngaHununuaHununuaHanunui
ChumviHanunuiHununuaHununua
SabuniHununuaHanunuiHununua

20. Ni kweli kusema kuwa

  1. Abidhaa zote hununuliwa
  2. Bwanunuzi hununua bidhaa sawa
  3. Cunga haununuliwi na wateja wote
  4. Dsukari hununuliwa na wateja wote

Answer

A. bidhaa zote hununuliwa

Kila bidhaa ina mteja anayeinunua; pia Kirwa hanunui unga, kwa hivyo unga haununuliwi na wateja wote.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test