naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19

Ni bidhaa gani hainunuliwi na Kirwa?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma Jedwali

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Bi. Wema anaendesha duka dogo la rejareja katika kijiji cha Imani. Yeye huuza bidhaa mbalimbali muhimu kwa wakazi wa kijiji hicho. Wateja wake wakuu ni Kari, Oloo na Kirwa. Kila mmoja wao hununua bidhaa tofauti kulingana na mahitaji yao. Jedwali lifuatalo linaonyesha orodha ya bidhaa anazouza kwa wateja wake:
Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali

BidhaaKariOlooKirwa
SukariHanunuiHununuaHununua
Mafuta ya kupikiaHununuaHanunuiHununua
UngaHununuaHununuaHanunui
ChumviHanunuiHununuaHununua
SabuniHununuaHanunuiHununua

19. Ni bidhaa gani hainunuliwi na Kirwa?

  1. AUnga
  2. BSukari
  3. CChumvi
  4. DSabuni

Answer

A. Unga

Safu ya Kirwa inaonyesha "Hanunui" kwa unga.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test