naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Chakula __26__ ni kile __27__ huwa na madini __28__ ambayo hutufanya tuwe na afya. __29__ wengi huenda sokoni na kununua matunda kama __30__ ambayo hutupa vitamini. __31__ nayo hutupa wanga ambao hutupa nguvu za kufanya kazi. __32__ ambao una mahitaji yote ya mwili __33__ humfanya mtu kuwa na afya na __34__ viungo vya mwili nguvu. Tusisahau pia tukiweka viungo __35__ chakula chetu huongeza ladha.

29. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.

  1. AWateja
  2. BWaporaji
  3. CWanunuzi
  4. DWachuuzi

Answer

C. Wanunuzi

Wanaonunua matunda sokoni ni wanunuzi; wateja pia ni wanunuzi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test